His first heartbreak 😂😂

like story
likes 4
phenoo

5 months ago


Mimi nmetoka shughuli zangu tu huku mtaa napatana na Piano🤣🤣anatoka mbio ati ameenda kupatana na manzi yake am like ok wewe ishia😂😂akaniuliza kama najua Brenda nkasema zii adi sijawai muona which was the truth bytheway.......sasa acha tuanze stori yetu ya leo......
🤣FEAR WOMEN
In around 2021 kijana mmoja ambaye alikuwa na kila kitu madem walikuwa wanataka kwa boi si muscles ooh "tall,dark and handsome😂💪pesa kwake haikuwa shida juu kama ni pesa alikuwa nayo Gotho was always loyal let's say GOTHO was the perfect example at this time Gotho alkuwa form three so mambo ya mapenzi yeye si mgeni🤔😁alikuwa gwiji ikifika ni mapenzi🤣🤣in short yeye ndio alkua anatesa kijiji mzima na mistari👌ilikuwa ukiona kuna kadem kamekaa tu hivihivi hakana mtu gotho ni nani 💨💨mbio adi kwake na ofcourse lazima atamteka hio ni sure bet💯💯until this fateful Sunday arrived 🤣🤣kama kawaida tumetoka na Gotho tunapiga laps zetu hapa kule😂😂
So mimi sijui vile Gotho alinotice dem fulani apo kabla adi mimi sijamnotice😂😂dem keki,huyo dem ratings zake zinachezea 9.5 juu ya bunda🍑eiiiiy🤭hadi dakika moja haijaisha Gotho ashajituma na obvious Si unajua Gotho akikuta peng wako lazima huyo peng ajue vile atakuacha abakie na Gotho🤧ghafla bin vuu ama ni punde si punde huyu dem na gotho ni maromance tu😂🤣"kiumbwaaa"adi nlikua nashindwa anatoa wapi mistari kali hivyo za kuingiza dem keki hivyo box mimi ni nani swezi simama hapo ilibidi nitoke mbio aiiiih juu adi kama ni wewe ungesimama hapo😠😂😂 so Seconds turned to minutes and minutes turned into hours and finally one month later bado Gotho walkua kimoja na huyo dem kazi ni kunipigia tu riba vile anaonjeshwa mapenzi hajawahi onja 😂😂Gotho akaacha ufisi sasa aconcentrate na huyo dem"mind you mimi huyo dem sijawai muona akiwa karibu so adi simjui jina"na kama Gotho ako happy mbona niharibu 😁😁ilifika point Gotho akasahau ugangster yake akashukisha points akampea bracelet iko na jina ya Gotho.Skrrrrrrrr pap🤣🤣timing ya shetani nayo haikuchelewa